
Brown Manyaka
Brown Manyaka, ambaye anajulikana sana kwa jina la Brownyaka nikijana wa kitanzania, mwandishi,mzungumzaji,mtengenezaji na mzalishajiwa maudhui yaliyolenga kuwaongezea watu thamani na kuwapa ushawishi.
Ameoa mke mrembo na mtumishi wa Mungu anaitwa Scolastica Brown.