
Nehemia Nteko
Nehemia Nteko ni raia wa Tanzania, Ni mhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM)katika Shahada ya sayansi ya kompyuta na ulinzi Taarifa. Ni mkufunzi wa masuala ya Uongozi kupitia semina, makongamano, kambi mbalimbali, mitandao ya kijamii au sehemu yoyote atakayopata nafasi ya kufundisha. Pia ni mwanasiasa chipukizi.