Author(s): Nehemia Nteko
Book Title: Uongozi Wako Historia Yako-Nehemia Nteo
Kitabu cha Uongozi wako Historia yako ni kitabu kizuri sana kilichoandikwa kwa ustadi mkubwa ili kumgusa mtu yeyote anayetaka kuwa kiongozi mwenye kuweka historia kubwa katika jamii. Kinaibua shauku ya ndani kuhusu uongozi na namna ya kuwa kiongozi mwenye mguso chanya katika jamii. Viongozi wenye kuweka historia kubwa katika jamii lazima waweze kujiandaa na kulipia gharama mbalimbali zitakazofanya wawe na mvuto na ushawishi mkubwa katika jamii, Taifa hata duniani. Kitabu hiki cha Uongozi wako Historia yako Kipo kwa ajili yako kukufanya kuwa bora zaidi kwenye uongozi.
Book Details
TZs12,500.00 Original price was: TZs12,500.00.TZs10,000.00Current price is: TZs10,000.00.
Share With Friends On:
Money Back Guarantee
Get the item you ordered or your money back..
Super Fast Delivery
We use the fastest shipping methods in the world.
More Books By Nehemia Nteko
TZs12,500.00 Original price was: TZs12,500.00.TZs10,000.00Current price is: TZs10,000.00.
Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Product Enquiry
More Books By Nehemia Nteko
TZs12,500.00 Original price was: TZs12,500.00.TZs10,000.00Current price is: TZs10,000.00.
Reviews
There are no reviews yet.